Menu:

 

Ati hao yenu ina gate lakini hakuna fence.

Ati kwenu ni wadosi mpaka panya zenu ziko na life insurance.

Ati maid wenu ana matiti refu hadi saa ya kufua nguo ikifika yeye yuzianika kwa mgongo na leso.

Ati manzi yako ana mdomo chafu akitema mate inakuwa mbolea.

Ati nyanyako ni mzalendo sana hadi alipigania uhuru wa k-street.

Ati TV yenu ni kadogo hadi nyinyi huitazama kwa jicho moja.

Ati wewe ni mnono hadi jamaa akikukatia hauingii box.

Ati wewe ni mwizi wa mikosi ulipigana na kuwahepa mbwa wakali kwa gate lakini ukaishia kuumwa na kondoo.

Babako ana mguu kubwa anavaa size 12 huku size 10 ikiwa ni vidole.

Babako mjinga alijenga hao, kumaliza ilikuwa nje ya plot yake.

Babako ni fala akituma sms yeye huweka stamp

Babako ni mfupi, anapofunga kiatu huwa amesimama.

Breathe yako ni sumu uki-yawn asubuhi jogoo hukufa  

Buda ako ni mjinga, first time kupanda ndege alisema shukisha junction!

Budako amevaa suruali ya ndani kwa miaka mingi mpaka siku aliitoa iliaanguka ikapasuka kama nyungu. 

Budako ana mikono ngumu, akishika kobole huwa inampatia change ya masumuni. 

Budako mblack akilala kwa barabara dereva hufikiri ni speed bump 

Budako ni fala ali-buy gazeti mbili za tarehe 2! akidhani ni ya tarehe 4!

Budako ni fala alienda airport akauliza kama kuna ndege pick-up.

Budako ni fala hutoroka gumbaru ku-slide na socks. 

Chali yako ni mkonda alipeperushwa na upepo mpaka South Africa na hana passport.

Dadako ana nywele nyingi mwilini hadi ana afro kwa magoti.

Dadako mjinga akitazama soka alafu linesman ainue flag, yeye husimama attention.

Dadako ni mwerevu hivi kwamba alipoenda pregnancy test alipita na A+.

Eti babu yako mzee mpaka chest yake imeandikwa 'THE END'.

Eti boma yenu imejaa hadi kila mtu ako na number plate.

Eti budako ni mjinga alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema “sitaki hiyo, imetoboka”.

Eti kwenu kuchafu hadi mende zinavaa slippers!

Eti kwenu mko wengi hata mkienda dinning room mnaingia na gate pass.

Eti kwenu nyinyi ni wadosi babako na mamako wakikosana babako hutoka akisema "am walking away”.

Eti kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya.

Eti kwenyu mko styled-up mpaka panya zenu hutumia condom.

Eti manzi wako amebeba hadi akitembea mwili wake huchapa beats za reggae.

Eti mtoto wako ni mdogo mpaka hutumia elastoplast kama pampers.

Eti nyanya yenu ni mzee sana wakati Mungu alisema 'let there be light' yeye ndiye aliwasha taa.

Eti TV yenu ni ndogo hadi iko na scrollbars.

Eti uko na makalio kubwa ukiketi unakua 3 feet taller than ukisimama!

Eti ulikuwa ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema “tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park”, kuskia hivyo ukadandia redio.

Eti umeokoka sana hadi unapika ugali ukitumia maji matakatifu na msalaba.

Eti una kichwa kubwa mpaka Mungu akikuumba aliambia malaika "nipe hiyo 9 by 9"

Eti una kisogo imejikata kama korna ya njugu.

Eti una mdomo kubwa kama bakuli ya jela 

Eti una ngozi ndogo mpaka saa zile umelala ukikunja ngumi macho zinafunguka.

Eti wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa..

Eti wewe ni mfupi mpaka unaendesha panadol kama tyre.

Eti wewe ni mjinga mpaka unaenda kwa chemist kuuliza CD ya “kuna dawa”.

Eti wewe ni mjinga,mamako akikutuma kununua colour TV unamuuliza “colour gani”

Eti wewe ni mnoma mpaka uko na socks za combat.

First time yako ku-buy ball gum shopkeeper alikupatia ya colour green ukasema 'nataka ile imeiva'

First time yako kununua ball gum shopkeeper alikupa ya green ukasema 'nataka ile imeiva'

Hao yenu iko na ukuta konda mpaka majirani wakikata vitunguu, mnalia!!!

Kichwa yako ni kubwa kama basi ya bedford ya zamani.

Kichwa yako ni kubwa mpaka mwili yako ina shape ya “lollipop".

Kompyuta yenu ni oldschool hadi antivirus yake hutumia mawe kudestroy viruses.

Kwenu kuchafu mpaka mainzi huvaa ‘gumboots’ na makoti.

Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate; eti THU! hii nyumba yenu ni noma!

Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.

Kwenu mko wengi hata mkienda dining room mnaingia na gate pass

Kwenu mko wengi mpaka last born anaitwa 'enough is enough'.

Kwenu mko wengi mpaka nyumba yenu iko na ile chuma ya matatu ya kujishikilia.

Kwenu mmeendelea mpaka mko na tea bags za uji.

Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia wee iba tu Mungu anakuona.

Kwenu nyinyi ni maskini mpaka coackroach zina-demonstrate juu ya njaa. 

Kwenu nyinyi ni maskini mpaka hukula ugali na maji ya nazi

Kwenu nyinyi wadosi mpaka kuku zenu zinakunywa juice instead ya maji. 

Kwenu wachoyo mpaka mkipika chapo mnakula kwa giza.

Kwenyu mko wengi badala ya sofasets muko na viti za stadi (stadium).

Kwenyu nyinyi ni wajinga mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.

Lift za jengo lenu ni za ki"sure'' kila mtu huketi chini na kufunga seat belt.

Mamako mnono akikalia kobole picha ya  Moi hutoa makamasi.

Mamako ni fala, yeye huenda kununua barsoap kwa bar.

Mamako ni mnene hadi ana mtandao wake wa kibinafsi ‘HER SPACE.COM’

Mamako ni mzembe akipika chapo moja yeye hutoa hizo zingine fotocopy.

Mamako yuko mbele ashapika chapo za christmas na kuziweka kwa file.

Manzi wako ni mnono, aliruka juu kwa hewa akakwama.

Manzi wako ni mwembamba  mpaka akipata mimba watu humuuliza kwani amemeza njugu.

Manzi yako ni mjinga akipanda matatu eti anapiga hodi!

Manzi yako ni mjinga alirusha mawe chini lakini akahata(akakosa kugonga chini).

Manzi yako ni mnono mpaka akizunguka kama amesimama husababisha dunia kuwa in “fast forward”.

Manzi yako ni mrefu mpaka Mungu akiboeka anamsuka matuta.

Manzii wako ni m-ugly mpaka alikataliwa ku act horror movie Hollywood.

Mapua zako kubwa ukingia class charts zinaanza kuanguka.

Maskio yako kubwa ukiingia hoteli chai inapoa 

Mbwa wenu ni mkali mpaka akikimbiza mwizi hufika kwa fence alafu anamtupia mate.

Mbwa yenu imekonda mpaka ikiitwa ina-collapse juu jina imekuwa mzigo

Mbwa zenu zimeendelea mpaka hubweka na tweng’

Mke wako ni mnono eti akipita mbele ya TV hukuzuia kuona kipindi kwa dakika 25.

Mko maskini kwenu hata kutoa jasho mnafanya na instalments

Mko wengi kwa hao mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakua na jam.

Mko wengi kwenu hadi mkipigwa family photo wengine hubembea kwa frame.

Mko wengi mpaka mkilala usiku na mtu ageuke mnajipata nje ya nyumba.

Mmesota mpaka mnakunywa chai na kifuniko ya Bic.

Mna pesa nyingi mpaka panya na paka zenu zinaenda nursery school.

Mnapikanga chapo na Robb ndio zikue chapo menthol.

Naskia eti kwenu ni kudosi mpaka choo yenu ni ya LG na bathroom ya SONY.

Naskia mko na magari matatu mtaani, mbili ni za wire na moja ni ya kuchorwa.

Ndugu yako ni mweusi mpaka akipigiwa simu usiku, service provider husema "mteja wa nambari uliyopiga haonekani kwa sasa tafadhali jaribu asubuhi."

Ngombe yenu mzee mpaka hutoanga yogurt.

Ninyi ni wadosi hata umbrella zenu mnapeleka kwa dry cleaner zikaoshwe.

Nyanyako kibogoyo lakini ni bingwa wa kufungua chupa ya coke.

Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

Nyanyako mzee tulimshurutisha ''act your age'' akakuwa fossil.

Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine

Nyanyako ni mwoga, siku moja wezi walimvamia kwa nyumba yake ya nyasi na kutisha “mama fungua mlango ama tukuitie ngombe!”

Nyanyako ni mzee hivi kwamba kukiwa na baridi, yeye hukuja ngozi yake na kujifunika.

Nyanyako ni mzee lakini bado anaenda disco.

Nyanyako ni mzee, yeye huona black na white.

Nyanyako ni pro wa karate, aliandikwa na klabu ya F2 kuwa bouncer.

Nyinyi kwenu ni weusi eti mkiingia kwa gari dirisha zinakuwa tinted.

Nyinyi ni maskini mpaka mkitaka kupiga nguo pasi hutia maji moto kwa kikombe na kupitishia juu ya nguo.

Nyinyi ni wadosi mpaka gari yenu huvaa gumboots siku ya mvua.

Nyinyi ni wadosi, mko na nyumba ya vyumba 24 lakini 23 ni vyoo.

Nyinyi ni wengi mpaka nyumba yenu ina round-about.

Nyinyi ni weusi mpaka hakuna kuoga ni kujibrush tu na kiwi!!!

Nyinyi wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na moja.

Nyumba yako ni kubwa, kabla utoke kwa bafu kuenda kwa chumba cha kulala umeshachafuka.

Nyumba yenu ndogo wakati mnajadiliana kitu inabidii utoke nje ili kuchange mind.

Nyumba yenu ni kubwa tu sana, ukifungua mlango ya nyuma unatokea oshago(mashambani).

Nyumba yenyu ni kubwa wakati unatoka jikoni na chakula kuenda chumba cha kulia chakula huwa imeshaoza.

Nyumba yenyu ni ndogo mtu akiingiza kifunguo ataua wenye wako ndani.

Nyumbani kwenu mmesota mpaka nzi wamehamia kwa jirani.

Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumia kama steel wool.

Nywele zako ni ngumu kabla uchane lazima umeze painkillers kwanza.

Paka wenu mnoma mpaka aki shika panya inaitisha chumvi

Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili.

Paka yenyu imeona movie mingi...imekuwa otero(shupavu) mpaka ikifuata panya inalia 'tereng! tereng!'

Rafiki yako ni mnene mpaka akivaa nguo ya majano, watu humsimamisha wakidhani ni teksi.

Runinga yenu imezeeka mpaka bado huonyesha rais Kibaki akiwa kijana.

Shamba yenu imeinama mpaka mkilala, hujifunga kwa kamba msibingirike.

Shangazi yako ni mrefu, akivaa suruali kabla ikifike kwa kiuno imeisha fashoni.

Shingo yako ndefu mpaka iko na elbow!

Simu yako ni mzee mpaka ukiwasha inakuambia "insert nail" badala ya "insert pin".

TV yenu ndogo mpaka news huanza...'je munatuona?'

TV yenu ni kadogo mpaka presenter anainama kusoma news.

TV yenu ni nzee mpaka mnaizima na maji.

TV yenyu ndogo mpaka mkitazama 100m nyinyi humalizia kwa jirani.

TV yenyu nzee mkishuta kwa nyumba watangazaji wa KBC wanafunga mapua. 

U mrefu waweza kuajiriwa kuwa hawker kwa ndege.

Uko mbele kiteknolojia mpaka ukienda sokoni huambia mchuuzi akuwekee mboga kwa ‘flashdisk’.

Uko mbele mpaka umejiundia formula ya kushuta vifijo na nderemo!

Uko na pimples mingi mpaka ukipigwa pichaq inatumiwa kama sandpaper.

Umekonda mpaka miguu yako yaweza kutumiwa kucheza pool.

Umekonda mpaka unaweza kuhepa raindrops.

Umekonda, ukishuta unaskia uchungu!

Umesota mpaka wallet yako imetengenezwa kwa gazeti.

Una kiatu ndogo mpaka unaweza pepeta ndegu.

Una kichwa kubwa badala ya kuimba head,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi!

Una kichwa kubwa mwenye kukusuka akimaliza side moja anachukua taxi kwenda hio side ingine.

Una mdomo kubwa eti wewe hula avocado kama njugu!

Una miguu mirefu sana eti ukienda bata viatu vinaanza kutoroka.

Una sura mbaya ukicheka watu hufikiria unalia na hukuambia pole.

Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

Watoto wenu wameendelea mpaka badala ya kulia, huvibrate.

We mchafu mpaka nzi humeza antibiotics kabla haijatua kwa ngozi yako.

We mchafu mpaka una mtaro kwa kifua. 

We mrefu mpaka ukianza kuvaa suruali by the time ifike kwa magoti ime-rust.

We m-ugly mpaka inabidi kipofu anavaa paperbag kukupigia binja 

We m-ugly, ulipokuwa mtoto mamako aliku-feed na feya.

We mweusi mpaka ukitupiwa mawe inarudi kuuliza torch.

We ni mrefu mpaka ukichoka kama unatembea mtaani unaji-support na wire za simu. 

We ni mrefu mpaka usiku miguu zinalala kwa jirani

We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina-hang kwa hewa.

We ni mweusi mpaka kwa class unaonyesha meno ndio usiwe marked absent

Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate

Wewe mblack mpaka una sweat soot.

Wewe mfupi mpaka hutolewa kwa kitanda na parashoot

Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

Wewe mrefu mpaka ukikunywa maziwa fresh inafika kwa tumbo ikiwa yoghurt!

Wewe ni fala alipaka aerial ya TV rangi ndio iweze receive color.

Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu. 

Wewe ni fala ukiona gari mpya unainama chini kuangalia kama ni ndume ama jike.

Wewe ni fala una-rewind CD na biro pen. 

Wewe ni greedy mpaka siku zile mamako alikuwa na mimba yako na anapika chapo ulichomoa mkono ukasema "nigeee!" 

Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

Wewe ni mchafu ukijikuna mgongo humwaga unga.

Wewe ni mdosi fala ulipika chapo na Fair and Lovely ndio zitokezee "Light and Soft".

Wewe ni mgamu mpaka ukiwa kwa back seat ya basi ya KBS ukiitishwa pesa unapoint nyuma 

Wewe ni mgumu kwa credit mpaka unatumia safaricom flashback wakuambie account balance.

Wewe ni mjinga hadi sunday school ulienda boarding.

Wewe ni mjinga mpaka ukiambiwa mtu alipita mtihani, huuliza alipita kwa mita ngapi.

Wewe ni mjinga ulikalia TV  to watch kiti.

Wewe ni mlafi mpaka ukimaliza kuvuta sigara, hujilamba mikono ili usipotelewe na chochote.

Wewe ni mnono ilibidi ubatizwe kwa bahari ndo utoshee.

Wewe ni mrefu kitambo umalize kuvaa nguo, huwa imeisha fashoni.

Wewe ni mrefu mpaka ndege ikipita hulazimika uiname usigonge.

Wewe ni mrefu mpaka ni wewe huongezea jua makaa 

Wewe ni mrefu mpaka unauza njugu karanga kwa dirisha ya ndege.

Wewe ni mrefu ukioga maji haifiki chini kwa miguu.

Wewe ni mrefu ukivalia kaptura inakaa kama chupi.

Wewe ni mshamba, mara ya kwanza ulipata babako akitazama soccer kwa TV yenu, ulimuuliza "daddy hawa watu wote watalala wapi?"

wewe ni m-ugly tu sana ulipozaliwa daktari aliandikia mamako apology letter badala ya birth certificate.

Wewe ni mweusi dark mpaka ukisimama kwa ukuta watu hufikiria ni shortcut.

Wewe ni mweusi mpaka ukikaa  gizani mamako hukuita “Hebu jitokeze! Jioonyeshe!mbele ya watu!”

 
Start blogging by creating a new post. You can edit or delete me by clicking under the comments. You can also customize your sidebar by dragging in elements from the top bar.